Kiongozi wa muda mrefu wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga ametangaza kuwania nafasi ya mwenyekiti wa Umoja wa Afrika, wakati huo Somalia ilimteua Fowsiya Yusuf Haji Aden, Naibu Waziri Mkuu na ...
Raila Amolo Odinga alizaliwa Januari tarehe 7 mwaka 1945 Magharibi mwa Kenya katika mkoa wa Nyanza. Bw Odinga, anayejulikana kwa wafuasi wake kama "Agwambo" kumaanisha mwenyekiti au mtu wa ...