Meli ambayo imebeba maelfu ya vitabu, ambayo huhudumu kama maktaba, imetia nanga bandarini Dar es Salaam.Meli hiyo ina zaidi ya vitabu 5,000 pamoja na video. Maelezo ya picha, Meli ya Mv Logos ...