Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo inasema Rwanda inapuuza wito wa kusitishwa kwa mapigano baada ya waasi wa M-23 kuuteka mji wa pili mashariki mwa nchi hiyo. Waziri wa Mawasiliano Patrick Muyaya ...
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki 14 Februari 2025 Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi ...