Utawala wa Afrika Kusini umesema uamuzi wa Marekani wa kumfukuza balozi wake ni wa kusikitisha. Hii inafuatia taarifa ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio, akitangaza kuwa balozi wa ...
Afrika Kusini imehimiza kuwa pande zote zinazohusika katika kudumisha staha ya kidiplomasia wakati wanashughulikia suala hilo. Na Asha Juma Chanzo cha picha, EPA Mazungumzo ya kuongeza muda wa ...
Mapigano mapya kaskazini mashariki yanatishia amani nchini Sudani Kusini, inasema IGAD. Wiki iliyopita, helikopta ya Umoja wa Mataifa iliyokuwa ikifanya kazi ya uokoaji kwa wanajeshi wa Sudani ...
Mapigano yakizidi kushamiri huko jimboni Kivu Kusini ,mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC kufuatia waasi wa M23 kuendelea kutwaa maeneo tangu mwezi Januari mwaka huu, Umoja wa Mataifa ...
Vikosi hivyo maalum vilivyotumwa Juba siku mbili zilizopita, vinapaswa kuleta utulivu katika mji mkuu wa Sudani Kusini na kuwalinda raia wa Uganda na wa kigeni wanaoishi katika mji huo.
Uamuzi huo umepokelewa kwa furaha na Serikali ya Afrika Kusini, ambayo ilifungua kesi patika Mahakama hiyo kutaka mchungaji huyo kurejeshwa Afrika Kusini kujibu mashatka yanayomkabili. Mnamo mwaka ...