Utawala wa Afrika Kusini umesema uamuzi wa Marekani wa kumfukuza balozi wake ni wa kusikitisha. Hii inafuatia taarifa ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio, akitangaza kuwa balozi wa ...
Afrika ya Kusini imekamilisha kuwaondosha wanajeshi wake 127 kutoka mstari wa mbele wa mapigano mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, wanne kati yao wakiwa wamejeruhiwa vibaya.
Afrika Kusini imehimiza kuwa pande zote zinazohusika katika kudumisha staha ya kidiplomasia wakati wanashughulikia suala hilo. Na Asha Juma Chanzo cha picha, EPA Mazungumzo ya kuongeza muda wa ...
Wakati mkutano wa 69 wa Kamisheni ya Hali ya wanawake Duniani CSW69 ukiendelea hapa New York Marekani nchini Sudan Kusini wanawake na wasichana wanaendelea kuonja shubiri ya vita, wakibakwa, kuuawa, ...
Mapigano mapya kaskazini mashariki yanatishia amani nchini Sudani Kusini, inasema IGAD. Wiki iliyopita, helikopta ya Umoja wa Mataifa iliyokuwa ikifanya kazi ya uokoaji kwa wanajeshi wa Sudani ...
Mapigano yakizidi kushamiri huko jimboni Kivu Kusini ,mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC kufuatia waasi wa M23 kuendelea kutwaa maeneo tangu mwezi Januari mwaka huu, Umoja wa Mataifa ...
Nenda kwenye ukurasa wa kwanza / E.A.C Sudani Kusini: Afisa mwandamizi katika jeshi, msirika wa Riek Machar akamatwa Juba Mapigano makali yaliendelea siku ya Jumanne Machi 4 huko Nasir, mji mdogo ...
Watanzania wakiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, baada ya kuhukumiwa kulipa faini ya Sh30,000 au kwenda jela miezi mitatu baada ya kupatikana na hatia ya kuondoka nchini na kwenda Afrika ...
Jeshi la Korea Kusini linasema kosa la rubani lilikuwa chanzo kikuu cha udondoshaji wa mabomu kwa bahati mbaya nje ya eneo la kufanya mafunzo wiki iliyopita. Jana Jumatatu, jeshi hilo lilitoa ...
Marekani na Korea Kusini wameanza mazoezi ya kijeshi ya pamoja yanayofahamika kama Ngao ya Uhuru yanayofanyika kila mwaka, hatua inayoshutumiwa vikali na Korea Kaskazini. Mazoezi hayo ya kijeshi ...
Juba. Vikosi vya Sudan Kusini vimemkamata Waziri wa Mafuta na maofisa waandamizi wa jeshi wanaoshirikiana na Makamu wa Kwanza wa Rais, Riek Machar huku wanajeshi wakiizingira nyumba yake katika mji ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果