Waasi wa M23 wanaendelea kupanua himaya yao katika Jimbo la Kivu Kusini, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), baada ya kuuteka mji wa Bukavu na kusonga mbele kuelekea njia kuu zinazounganisha jimbo ...
Shughuli za viwanda hasa kwa nchi zilizoendelea kama Marekani na China, zinatajwa kuongeza viwango vya mabadiliko ya tabianchi. Ni siku chache zimepita kumetajwa, nchini Sudan Kusini, shule zote ...
Viongozi wa kisiasa wa Sudan Kusini lazima wakabiliane na ukwepaji wa sheria na ufisadi unaochochea ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu, la sivyo watahatarisha mpito wa kisiasa wa nchi hiyo, imesema ...
Afrika ya Kusini imekamilisha kuwaondosha wanajeshi wake 127 kutoka mstari wa mbele wa mapigano mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, wanne kati yao wakiwa wamejeruhiwa vibaya.
Goma. Kundi la kwanza la askari wa Jeshi la Ulinzi la Afrika Kusini (SANDF) waliojeruhiwa katika mapigano nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), limeanza kurejea nyumbani kupitia Kigali, ...
Nchini Sudani Kusini, mvutano kati ya wanajeshi wa Rais Salva Kiir na wale wa Makamu wa Rais Riek Machar umekuwa ukiongezeka tangu mwanzoni mwa mwaka huu katika jimbo la Equatoria Magharibi.
Unalikumbuka bao alililofunga Aziz Ki dhidi ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini katika pambano la marudiano la robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu uliopita? Nalo lilimfanya kuwa gumzo ...
Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula duniani, WFP limekaribisha mchango wa dola milioni 5 kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya Korea Kusini. kwa ajili ya kujengea mnepo na kuimarisha ...
Aliuawa siku ya Jumamosi asubuhi baada ya gari alilokuwa akisafiria karibu na mji wa kusini wa Gqeberha kuviziwa. "Washukiwa wawili wasiojulikana waliojifunika nyuso zao walitoka nje ya gari na ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果