Kutoa mazingira salama na jumuishi ni dhamira ya msingi ya kila jumuiya ya shule ya Australia. Ila wazazi wanastahili fanya nini mtoto wao anapo nyanyaswa shuleni?
Mwanasiasa wa upinzani nchini Uganda Kizza Besigye alirejeshwa gerezani baada ya kulazwa katika hospitali moja mjini Kampala kwa muda mfupi alipougua kutokana na hatua yake ya kususia kula chakula ...
Kuanzia kutangaza malengo ya Marekani kuhusu mustakabali wa Gaza na kupunguza kwa kiasi kikubwa shughuli za shirika la misaada la Marekani (USAID) kwa mataifa ya kigeni hadi kuingilia kati mzozo ...