Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Nasib Abdul maarufu Diamond Platinumz ni mmoja wa wasanii walioshiriki kampeini ya kupanda mlima Kilimanjaro mwaka huu lakini hakufanikiwa kufika kileleni.
Hamida abubakar Amezungumza nae kutaka kufahamu kwanini aliamua kufanya ushirikiano na msanii huyo. Miongoni mwa wasanii ambao wameshirikiana na diamond kimziki ni pamoja na Innoss B,Fally Ipupa ...