Kama huamini fuatilia inapotokea mijadala inayohusisha wasanii katika kutoa hoja wale wa hip hop huzungumza vitu konki sio poa. Unasikiliza msanii anatema hoja za moto mpaka unatingisha kichwa unasema ...
Marekani. Marehemu Tupac Shakur ni moja kati ya wasanii maarufu wa hip-hop duniani waliofanya makubwa katika tasnia ya muziki. Lakini licha ya umaarufu wake na mafanikio kedekede msanii huyo ambaye ...
Muda mwingine anaweza kuhisi kaimbiwa yeye kutokana na kile kilichowasilishwa mfano wa nyimbo kama Nitarejea ya kwake Diamond ft Hawa, dhima ya waandishi hao kuhusu walichoimba ... mafao makubwa mfano ...