Newcastle itakuwa tayari kumuachia Alexander Isak kuondoka kwa £83.3m (100m euros) katika dirisha kubwa lijalo kama haitafuzu michuano ya Klabu bingwa Ulaya, huku Barcelona, Liverpool, Arsenal na ...
Mwanasiasa wa upinzani nchini Uganda Kizza Besigye alirejeshwa gerezani baada ya kulazwa katika hospitali moja mjini Kampala kwa muda mfupi alipougua kutokana na hatua yake ya kususia kula chakula ...