Waasi wa M23 wanaendelea kupanua himaya yao katika Jimbo la Kivu Kusini, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), baada ya kuuteka mji wa Bukavu na kusonga mbele kuelekea njia kuu zinazounganisha jimbo ...
Shughuli za viwanda hasa kwa nchi zilizoendelea kama Marekani na China, zinatajwa kuongeza viwango vya mabadiliko ya tabianchi. Ni siku chache zimepita kumetajwa, nchini Sudan Kusini, shule zote ...
Viongozi wa kisiasa wa Sudan Kusini lazima wakabiliane na ukwepaji wa sheria na ufisadi unaochochea ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu, la sivyo watahatarisha mpito wa kisiasa wa nchi hiyo, imesema ...
Afrika ya Kusini imekamilisha kuwaondosha wanajeshi wake 127 kutoka mstari wa mbele wa mapigano mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, wanne kati yao wakiwa wamejeruhiwa vibaya.
Goma. Kundi la kwanza la askari wa Jeshi la Ulinzi la Afrika Kusini (SANDF) waliojeruhiwa katika mapigano nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), limeanza kurejea nyumbani kupitia Kigali, ...
Nchini Sudani Kusini, mvutano kati ya wanajeshi wa Rais Salva Kiir na wale wa Makamu wa Rais Riek Machar umekuwa ukiongezeka tangu mwanzoni mwa mwaka huu katika jimbo la Equatoria Magharibi.
Unalikumbuka bao alililofunga Aziz Ki dhidi ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini katika pambano la marudiano la robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu uliopita? Nalo lilimfanya kuwa gumzo ...
Aliuawa siku ya Jumamosi asubuhi baada ya gari alilokuwa akisafiria karibu na mji wa kusini wa Gqeberha kuviziwa. "Washukiwa wawili wasiojulikana waliojifunika nyuso zao walitoka nje ya gari na ...
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC),Augustine Holle (mwenye shati jeupe) na wajumbe wengine wa kamati hiyo,wakisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa ...
Kadri waasi wa M23 wanavyoendelea kupata mafanikio katika jimbo la Kivu Kusini, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), afisa mkuu wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia misaada ya ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果